Friday, July 6, 2018
Belle 9 Afunguka Mkewe Alivyomfumania
Belle 9 Afunguka Mkewe Alivyomfumania

Ukweli ni kwamba licha ya kuwa msiri Belle 9 ameweka wazi kuwa katika mahusiano yake alishawahi kufumaniwa japo ni sio mara nyingi.
�Nimeshawahi kufumaniwa ila ni mara chache sana, wanawake wengi huwatamani wasanii kimapenzi kutokana na ushwawishi wa wasanii, Mwanamke wangu nataka ajitambue,� amesema Belle 9 kwenye kipindi cha Tresha�z Dairy cha Radio Kings FM.
Mwaka jana mwezi Desemba Belle 9 alifunga ndoa ya siri mkoani Morogoro na mchumba wake ambaye amedumu naye kwa muda mrefu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.